DJ NYASI24.COM

DJ NYASI24.COM

Friday, March 15, 2013

[AUDIO] Brand New: Kinyambe ft. PNC - NIPE KIDOGO...

Huyu ni msanii wa vichekesho akijulikana kama Kinyambe ambae ameonekana akijizolea umaarufu kutokana na staili yake anayoitumia kuigizia na kichekesha...
Sasa msanii huyu ameamua kuachia wimbo wake ambao unakwenda kwa jina la ''Nipe Kidogo''. Ndani ya single hii kinyambe amemshirikisha msanii kutoka Watanashati Entertainment maarufu kama PNC.

No comments:

DENIS LUKOSI - MUNGU KAFANYA YAKE