DJ NYASI24.COM

DJ NYASI24.COM

Tuesday, May 28, 2013

: (Breaking News) ALBERT MANGWEAR afariki dunia katika hospital ya ST.HELLEN iliyopo JO'BURG South Africa




ripoti kamili
Taarifa Nilizo Pata Kutoka South
Africa Kutoka Kwa Hussein
Original Ambaye Yupo Pretoria
Amesema Ngwear Amefariki Leo

Asubuhi. Alikuwa Ghetto Moja Na
Msanii M To The P.
Walivyokwenda Kuwagongea
Asubuhi Walikuta Ngwear
Amefariki Na M To The P
Amepoteza Fahamu Kabisa. Pia
Daktari Ameshatoa Taarifa Kwa
Watu Wa Karibu Wa Ngwear
Huko South Africa. Ngwea akiwa na msanii M to the P jana south africa.mtu wa karibu anasema walitakiwa kurudi dar leo lakini waliwakuta wamezima kwenye room wote wawili baada ya kuji overdose madawa ya kulevya na M to the P yupo hoi hospitali.

Sunday, May 5, 2013

maneno yake kala

 
sASA KAZI IMEANZA NAWAOMBA MSAADA WENU WA HALI NA MALI, MWAKA HUU NIMEFANIKIWA KUINGIA KWENYE CATEGORIES NNE ZA KILIMANJARO MUSIC AWARDS. SASA MUDA WA KUPIGA KURA UMEFIKA KUANZIA LEO NIPIGIE KURA ILI UNIWEZESHE KUSHINDA TUZO AMBAZO NAWANIA
...See More

MITIHANI YA FOR4 KUSAHIHISHWA UPYA

Habari leo hii kutoka bungeni zinaweza kuwa ni sehem nzuri ama habari nzuri kwa wanafunzi wengu huku baadhi wakiona kama ni mizinguo..
sababu inayonifanya kusema hiki, ni pale nilipowafikiria wale waliopata division 1, hofu itakua imetanda baada ya kauli ya wabunge walioteuliwa kufatilia ishu ya kufeli kwa wanafunzi wa kidato cha nne 2011 / 2012, ambapo inaonekana kabisa kurudiwa kusahihishwa upya kwa mitihani hiyo
Taarifa ya tume iliyoundwa na waziri mkuu kuchunguza sababu za kufeli vibaya kwa watahiniwa wa kidato  cha nne  imesomwa  bungeni  leo  na  Mh.Lukuvi.
Mh.Lukuvi.  amesema sababu zilizosababisha  wanafunzi  wafeli   ni upungufu wa waalimu, mazingira magumu a kufundishia, idadi kubwa ya shule za sekondari iliyopelekea idadi kubwa ya watahiniwa  na  utaratibu  mbovu  wa  baraza  la  mitihani  uliotumika  bila  kuwashirikisha  wadau  wa  elimu
Mh.LukuviI amesema kuwa NECTA haikufuata vigezo vya kuwafaulisha wanafunzi kwa kufuata STANDARDIZATIONS na CONTINOUS ASSESSMENTS.
Hivyo  basi, matokeo  hayo  yamefutwa  na yatasahihishwa upya

I'm listening to Jipe_Shavu-AY_Feat_Fid_Q.mp3 @Hulkshare:

 Jipe_Shavu-AY_Feat_Fid_Q.mp3 @Hulkshare:

DENIS LUKOSI - MUNGU KAFANYA YAKE