ANGALIA PICHA ZIKIMWONYESHA MSANII DIAMOND AKIWA NDANI YA STUDIO KUBWA DUNIANI ZA COKE
Mkali wa Ngololo 'Diamond Platnumz' ambaye anahusika kwenye matangazo ya
kampuni ya Cocacola ametupia picha akiwa kwenye Coke Studio za Africa
kupitia account yake ya Instragram na haya ndiyo aliyo yaandika.
No comments:
Post a Comment