MWANAMKE ADAKWA AIRPORT AKIWA NA MIMBA BANDIA ILIYOKUWA NA SEMBE
Kila kukicha vita dhidi ya biashara
haramu ya dawa za kulevya inazidi kupamba moto, wakati mataifa
mbalimbali yakizidi kuimarisha udhibiti wa biashara hiyo, na
wafanyabiashara hiyo wanazidi kuja na mbinu mpya za kusafirisha dawa
hizo.
No comments:
Post a Comment